Welcome to Mwananyamala Regional Referral Hospital



Mwananyamala Regional Referral Hospital is a public facility serving the population of more than 2.2 million in Dar es Salaam and the surrounding areas, with Kinondoni and Ubungo districts as its definition area. Our Vision is to be a leading Regional Referral Hospital in the provision of Quality Health Services


DKT. GRACE MAGHEMBE RASMI NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA TAMISEMI (AFYA)

 

DAR ES SALAAM. Dkt. Grace Magenbe ameapishwa kushika Wazfa ya kuwa naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ofisi ya Raisi Tawala za mikoa Na Serikali za Mitaa Tamisema Kitengo cha Afya.

Dkt. Magembe ameshika Nafasi hiyo baada ya Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani na kuapishwa leo Tarehe 6 April Ikulu Jijini Dar es salaam.

Hata Hivyo, Dkt. Grace Magembe Kabla ya kupewa Wadhfa huo alikuwa Mkurugenzi Wa Tiba Wizara Ya Afya kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Akiwa Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya alifanya ziara kwenye Hospitali mbalimbali ikiwemo Hospitali ya Rufaa Ya Mkoa Mwanayamala (https://youtu.be/iV7fqnFwAv0).




Dkt. Grace Maghembe akila kiapo cha kuwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya TAMISEMI (Afya) mbele ya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu ikulu Jijini Dar es alaam.