DAR ES SALAAM. Dkt. Grace Magenbe ameapishwa kushika Wazfa ya kuwa naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ofisi ya Raisi Tawala za mikoa Na Serikali za Mitaa Tamisema Kitengo cha Afya.
Dkt.
Magembe ameshika Nafasi hiyo baada ya Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassani na kuapishwa leo Tarehe 6 April Ikulu Jijini
Dar es salaam.
Hata Hivyo, Dkt. Grace Magembe
Kabla ya kupewa Wadhfa huo alikuwa Mkurugenzi Wa Tiba Wizara Ya Afya kutoka Wizara ya Afya
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Akiwa Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya alifanya ziara
kwenye Hospitali mbalimbali ikiwemo Hospitali ya Rufaa Ya Mkoa Mwanayamala (https://youtu.be/iV7fqnFwAv0).
Dkt. Grace Maghembe akila
kiapo cha kuwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya TAMISEMI (Afya) mbele ya Rais wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu ikulu Jijini Dar es alaam.