Welcome to Mwananyamala Regional Referral Hospital



Mwananyamala Regional Referral Hospital is a public facility serving the population of more than 2.2 million in Dar es Salaam and the surrounding areas, with Kinondoni and Ubungo districts as its definition area. Our Vision is to be a leading Regional Referral Hospital in the provision of Quality Health Services


MAADHIMISHO YA WIKI YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

 


 

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Godwin Gondwe akiwa katika meza ya watoa huduma za afya wakati wa maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza Kinondoni Jijini Dar es salaam tarehe 10 Novemba, 2021.

 

Mgeni rasmi Mhe. Godwin Gondwe akiwa pamoja na viongozi wengine na baadhi ya watoa huduma za afya meza kuu wakati wa maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza Kinondoni Jijini Dar es salaam tarehe 10 Novemba, 2021.

 

Viongozi, wafanyakazi pamoja na wananchi mbalimbali wakiwa wamejitokeza katika maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza Kinondoni Jijini Dar es salaam tarehe 10 Novemba, 2021.

 

Wafanyakazi mbalimbali wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza yanayoendela hospitalini hapo tarehe 11 Novemba, 2021. 

 

Pichani ni baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala wakiwa kwenye meza ya elimu na ushauri nasaha wa lishe wakati wa maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza tarehe 11 Novemba, 2021.

 

Mteja aliyefika kupata huduma ya afya akiwa katika meza ya wataalamu wa maabara wakati wa maadhimisho ya wiki magonjwa yasiyoambukiza Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Jijini Dar es salaam tarehe 11 Novemba, 2021.

 

Daktari Rahma T. Ali, akiongea na mteja aliyefika kupata huduma wakati wa maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Jijini Dar es salaam tarehe 11 Novemba, 2021,

 

Sister Emiliana Leornard akimpima kiwango cha shinikizo la damu mteja aliyefika kupatiwa huduma wakati wa maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Jijini Dar es salaam tarehe 11 Novemba, 2021.