Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma hospitali ya Rufaa ya
Mkoa Mwananyamala Dkt. Saudan Massawe akizungumza wakati wa maadhamisho ya siku
ya Kifua Kikuu Duniani yaliyofanyika hospitalini hapo tarehe 24 Machi, 2022.
Mratibu wa shughuli za Kifua Kikuu, Ukoma na UKIMWI
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Maliwaza Mganga akifanya mahojiano
wakati wa maadhamisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani yaliyofanyika hospitalini
hapo tarehe 24 Machi, 2022.
Dkt. Prisca Belege akimhudumia mwananchi aliyefika
kupatata huduma wakati wa maadhamisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani
yaliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala tarehe 24 Machi, 2022.
Shughuli za utoaji wa elimu ya afya, chanjo ya
UVIKO-19 pamoja na upimaji zikiendelea wakati wa maadhamisho ya siku ya Kifua
Kikuu Duniani yaliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala.
Muelimishaji afya akitoa elimu ya kifua kikuu kwa
vijana wa bodaboda mtaani wakati wa maadhamisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani
tarehe 24 Machi, 2022 yaliyoandaliwa na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala.
Shughuli za maadhamisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani
yakiendelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala tarehe 24 Machi, 2022.