Makamu wa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango akizungumza na Hafla iliyoudhuria kwenye Zoezi la kuwaapisha Makatibu wakuu na Manaibu katibu Mkuu wa Wizara mbalimbali na Wakurugenzi wa Taasisi Mbalimbali iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.
Makatibu na Manaibu Wakuu wa Wizara
mbalimbali akiwemo Prof Abel Makubi (Wakwanza Kulia), Grace Maghembe (Wapili Kushoto)
Wakisikiliza Hotuba ya Rais Samia Suluhu Ikulu Dar Es Salaam baada ya kuwaapisha
Viongozi hao.