Welcome to Mwananyamala Regional Referral Hospital



Mwananyamala Regional Referral Hospital is a public facility serving the population of more than 2.2 million in Dar es Salaam and the surrounding areas, with Kinondoni and Ubungo districts as its definition area. Our Vision is to be a leading Regional Referral Hospital in the provision of Quality Health Services


MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU YA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA MWANANYAMALA

MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA MWANANYAMALA

  

Mgeni Rasmi Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe akizungumza wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyoambatana na utoaji wa huduma za Afya bure kwa wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala tarehe 07 Disemba, 2021. 


Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Dkt. Zavery Benela akizungumza wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyoambatana na utoaji wa huduma za Afya bure kwa wananchi hospitalini hapo tarehe 07 Disemba, 2021.

Mgeni Rasmi Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe pamoja na Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala wakiwa pamoja meza kuu wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyoambatana na utoaji wa huduma za Afya bure kwa wananchi hospitalini hapo tarehe 07 Disemba, 2021.

 

Mgeni Rasmi katika wiki ya maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe akiwa katika picha ya pamoja na Mganga Mfawidhi Dkt. Zavery Benela (Kushoto), Kaimu Katibu wa Afya Rajabu (Kulia) na wakuu wa Idara mbalimbali hospitali hapo tarehe 07 Disemba, 2021. 




 HUDUMA ZA KIBINGWA NA MAONYESHO YA KIIDARA

IDARA YA MAGONJWA YA NDANI       

    Afisa Muuguzi wa Afya ya Akili na Uraibu wa Madawa ya Kulevya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Eline Kalandu kitengo cha ‘Methadone’ akizungumza wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru tarehe 07 Disemba, 2021

Mgeni rasmi Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe akiwa ameambatana na Mganga mfawidhi Dkt. Zavery Benela katika banda la Idara ya Upasuaji kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru Hospitalini hapo tarehe 07 Disemba, 2021.


IDARA YA WATOTO

Mratibu wa Kifua Kikuu na huduma Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Saudan H. Massawe akizungumza mbele ya mgeni rasmi Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru tarehe 07 Disemba, 2021.


Daktari Bingwa wa watoto kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Dkt. Irene Balongo akizungumza wakati mgeni rasmi Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe akiambatana na Mganga Mkuu Dkt. Zavery Benela walipotembelea banda la Idara ya watoto kwenye maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru tarehe 07 Disemba, 2021.


IDARA YA UTAWALA

Afisa Ustawi wa Jamii na Mwenyekiti wa kamati ya KIGODA Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Halali Katani akizungumza mbele ya mgeni rasmi Katibu Tawala Wialaya ya Kinondoni Stella Msofe wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru tarehe 07 Disemba, 2021.


Muuguzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa Mwananyamala Hyasinta Kafuka kutoka kitengo cha huduma bora kwa mteja (KIGODA) akizungumza mbele ya mgeni rasmi Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe Pamoja na Mganga Mfawidhi Dkt. Zavery Benela wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika hospitalini hapo tarehe 07 Desemba, 2021.


IDARA YA RADIOLOJIA

Mteknolojia wa Mionzi kutoka Idara ya Radiolojia Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Betina Sanga akizungumza wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyofanyika hospitalini hapo tarehe 07 Disemba, 2021.


Pichani ni baadhi ya wafanyakazi kutoka Idara ya Radiolojia Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala na vifaa tiba mbalimbali vya kisasa katika Idara hiyo hapo chini