Welcome to Mwananyamala Regional Referral Hospital



Mwananyamala Regional Referral Hospital is a public facility serving the population of more than 2.2 million in Dar es Salaam and the surrounding areas, with Kinondoni and Ubungo districts as its definition area. Our Vision is to be a leading Regional Referral Hospital in the provision of Quality Health Services


RAIS SAMIA: "NIMEKUSUDIA KUUNDA KAMATI YA WATAALAMU SUALA LA CORONA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Akihutubia Baada ya Kuwaapisha Makatibu na Manaibu katibu wa kuu wa wizara mbalimbali na Wakurgenzi wa Taasisi Mbalimbali Ikulu Jijini Dar es alaam April 6, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan masema anakusudia Kuunda kamati ya wataalam itakayoangalia Suala la Ugonjwa wa Corona kitaalam kwa kutumia Tafiti.

Rais Samia Ameyasema Hayo katika Hafla ya kuwaapisha Makatibu wa mkuu na manaibu katibu wa Mkuu Pamoja na wakurugenzi wa Taasisi mbalimbali Leo Ikulu Jijini Dar es salaam ambapo ameeleza kuwa Kamati hiyo itaishauri serikali jinsi ya kukabiliana na Ugonjwa Huo.

Mhe. Samia Amesema Tanzania Haiwezi Kujitenga kama kisiwa na haiwezekani kupokea yanayoletwa bila kufanya utafiti wa Ndani.