Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Mabula Mchembe akizungumza katika kongamano la pili la kisayansi wakati wa maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam. Novemba 9-10, 2020.
Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Maghembe akizungumza na
vyombo vya habari wakati wa Kongamano la pili la Kisayansi kuhusu kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza ukumbi wa Mwalimu
Nyerere Jijini Dar es salaam. Novemba 9-10, 2020.
Meneja mipango- Mpango wa Taifa wa kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza Dkt. Omary Ubuguyu akizungumza wakati wa Kongamano la pili la Kisayansi kwenye maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam. Novemba 9-10, 2020.
Kongamano la pili la kisayansi wakati wa maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam. Novemba 9-10, 2020.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Aboubakar Kunenge akizungumza na wadau mbalimbali wa sekta ya Afya pamoja na wananchi waliojitokeza (hawapo pichani) katika kilele cha Maadhimisho ya wiki ya Magonjwa yasiyoambukiza mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam, Novemba 14, 2020.
Mkurugenzi wa Tiba Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Maghembe akizungumza wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza Mnazi mmoja Jijini Dar es salaam. Novemba 14, 2020.
Mgeni rasmi Mhe. Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Abuubakar Kunenge akiwa na Mkurugenzi wa tiba Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Maghembe wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza Mnazi mmoja Jijini Dar es salaam. Novemba 14, 2020.