Welcome to Mwananyamala Regional Referral Hospital



Mwananyamala Regional Referral Hospital is a public facility serving the population of more than 2.2 million in Dar es Salaam and the surrounding areas, with Kinondoni and Ubungo districts as its definition area. Our Vision is to be a leading Regional Referral Hospital in the provision of Quality Health Services


Rais John Pombe Magufuli kutoa bilioni 1.5


Wananchi washangilia tamko la Rais John Pombe Magufuli kutoa bilioni 1.5 kukamilisha ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Ubungo kufuatia ombi la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda wakati wa sherehe za kupokea ndenge ya ATC “Rubondo”

Mhe. Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiwasilisha kwa Rais Magufuli ombi la kusaidiwa fedha kujenga hospitali ya wilaya ya Ubungo wakati wa mapokezi ya ndege ya ATC, iliyopewa jina la Rubondo