Welcome to Mwananyamala Regional Referral Hospital



Mwananyamala Regional Referral Hospital is a public facility serving the population of more than 2.2 million in Dar es Salaam and the surrounding areas, with Kinondoni and Ubungo districts as its definition area. Our Vision is to be a leading Regional Referral Hospital in the provision of Quality Health Services


MAADHIMISHO YA WIKI YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA MWANANYAMALA

 

Dkt. Pantaleo akizungumza na vyombo vya habari kwa niaba ya Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Dkt. Zavery Benela wakati wa maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza yaliyo fanyika hospitalini hapo tarehe 13 Novemba, 2021.

Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Musa Wambura akizungumza na vyombo vya habari wakati wa maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza tarehe 13 Novemba, 2021.

Afisa lishe wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Biatha Shekalaghe akipitia fomu ya mteja aliyefika kupima afya wakati wa maadhimisho wiki ya magonjwa yasiyoambukiza hospitalini hapo tarehe 13 Novemba, 2021.

 

 Magdalena Matem Muuguzi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala akimpima uzito na urefu mmojawapo wa wateja waliofika kwenye maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza hospitalini hapo tarehe 13 Novemba, 2021.

 

 

Dkt. Sostes Hongo mtaalam wa Afya ya akili pamoja na uraibu wa madawa ya kulevya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala akifanya mahojiano wakati wa maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza tarehe 13 Novemba, 2021.

 

Vedastus Tayari mkazi wa Msasani Jijini Dar es salaam akifanya mahojiano mara baada ya kupata huduma wakati wa wiki ya maadhimisho ya magonjwa yasiyoambukiza Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala tarehe 13 Novemba, 2021.

 

Mtaalam wa maabara kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Kibwana Muhidini Salum akimpima mgonjwa aliyefika katika maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza yaliyofanyika hospitalini hapo tarehe 13 Novemba, 2021.