MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA MWANANYAMALA
Mgeni Rasmi Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe akizungumza wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyoambatana na utoaji wa huduma za Afya bure kwa wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala tarehe 07 Disemba, 2021.
Mgeni Rasmi Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe pamoja na Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala wakiwa pamoja meza kuu wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyoambatana na utoaji wa huduma za Afya bure kwa wananchi hospitalini hapo tarehe 07 Disemba, 2021.
HUDUMA ZA KIBINGWA NA MAONYESHO YA KIIDARA
IDARA YA MAGONJWA YA NDANI
Mgeni rasmi Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe akiwa ameambatana na Mganga mfawidhi Dkt. Zavery Benela katika banda la Idara ya Upasuaji kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru Hospitalini hapo tarehe 07 Disemba, 2021.
IDARA YA UTAWALA
Afisa Ustawi wa Jamii na Mwenyekiti wa kamati ya KIGODA Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Halali Katani akizungumza mbele ya mgeni rasmi Katibu Tawala Wialaya ya Kinondoni Stella Msofe wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru tarehe 07 Disemba, 2021.
Muuguzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa Mwananyamala Hyasinta Kafuka kutoka kitengo cha huduma bora kwa mteja (KIGODA) akizungumza mbele ya mgeni rasmi Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe Pamoja na Mganga Mfawidhi Dkt. Zavery Benela wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika hospitalini hapo tarehe 07 Desemba, 2021.
IDARA YA RADIOLOJIA
Mteknolojia wa Mionzi kutoka Idara ya Radiolojia Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Betina Sanga akizungumza wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyofanyika hospitalini hapo tarehe 07 Disemba, 2021.
Pichani ni baadhi ya wafanyakazi kutoka Idara ya Radiolojia Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala na vifaa tiba mbalimbali vya kisasa katika Idara hiyo hapo chini