Recent Posts

MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA UHURU HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA MWANANYAMALA

 

Mgeni rasmi Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe akizungumza wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyoambatana na utoaji wa huduma za Afya bure kwa wananchi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala tarehe 07 Disemba, 2021. 

 

Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Dkt. Zavery Benela akizungumza wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyoambatana na utoaji wa huduma za Afya bure kwa wananchi hospitalini hapo tarehe 07 Disemba, 2021.

 

 

Mgeni rasmi Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe akiwa meza kuu pamoja na Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyoambatana na utoaji wa huduma za Afya bure kwa wananchi hospitalini hapo tarehe 07 Disemba, 2021.

 

 

Mgeni rasmi katika wiki ya maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe akiwa katika picha ya pamoja na Mganga Mfawidhi Dkt. Zavery Benela (Kulia), Kaimu Katibu wa Afya Dkt. Rajabu (Kushoto) na baadhi ya Wakuu wa Idara za afya hospitali hapo tarehe 07 Disemba, 2021. 

 

 

Mgeni rasmi katika wiki ya maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru yaliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Katibu Tawala Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe akiwa katika picha ya pamoja na Mganga Mfawidhi Dkt. Zavery Benela (Kulia), Kaimu Katibu wa Afya Dkt. Rajabu (Kushoto) na baadhi ya Wakuu wa Vitengo vya afya hospitalini hapo tarehe 07 Disemba, 2021.