Dar es salaam.
Dkt. Abel Makubi leo tarehe 6 Aprili 2021 ameapishwa kuwa Katibu
Mkuu wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Zoezi hilo la kuapishwa limefanyika leo 6 April 2021 Ikulu jijini
Dar es salaam Baada ya Rais Samia Suluhu Hasan kuwateua wakurugenzi wa Taasisi
mbalimbali na Manaibu katibu wakuu wa wazara.
Dkt. Makubi kabla ya Uteuzi huo alikuwa Mganga Mkuu wa
Serikali.
Dtk, Abel Makubi akila Kiapo mbele
ya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu
wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, zoezi hilo
limefanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.