Recent Posts

Ziara ya Mhe. Ummy Mwalimu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na wanahabari wakati wa ziara yake Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akisikiliza kero za wananchi wakati wa ziara yake Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala