Daktari bingwa wa magonjwa ya sikio, pua na koo, Dkt. Onesmo Tarimo akiwasilisha mada “Double Sword” katika kikao cha Journal Club ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala akiwasilisha.
|
Mwenyekiti wa Journal Club ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala Dkt. Irene Kato, akiendesha kikao kilichojadili mada “Double sword” iliyowasilishwa na Dkt. Onesmo Tarimo.
|