Recent Posts

Daktari bingwa magonjwa ya watoto

Daktari bingwa magonjwa ya watoto (aliyevaa koti) akiwaongoza washiriki wa tathmini katika wadi ya watoto wachanga

Mshiriki wa timu ya tathmini ya mwongozo wa kukinga na kudhibiti maambukizi akichukua picha ya vielelezo kama sehemu ya tathmini iliyofanyika hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala


Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala katika kikao cha mrejesho wa matokeo ya tathmini ya utekelezaji mwongozo wa kuzuia na kukinga maambukizi iliyofanywa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto